Uzalihaji wa Kilimo bora cha Mpunga wa Mabondeni wenye tija unaozingatia matumizi ya viua gugu, hasa kwenye punga pori Tanzania. Mwongozo wa Maafisa Ugani. (Profitable Lowland Rice Production with special emphasis on Herbicide application on wild rice management in Tanzania. A guide to Agricultural Extension Staff in Tanzania.)